Habari za Punde

TUMPIGIE KURA RAIS WETU KATIKA TUZO YA WATU MASHUHURI DUNIANI

Rais wetu Dr John Pombe Magufuli kachaguliwa na FOBES kushindania Tuzo ya Mtu mashuhuri wa Mwaka 2016 Africa!Tumpigie kura kwa wingi ili iatangaze Nchi yetu Duniani Kote,unaweza bofya link chini halafu angalia jina
gonga utakuwa umeshaapiga kura.uzalendo kwanza

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.