Habari za Punde

VIJANA 53 WASOMI WAFYATUA MATOFALI 45,000 KWA AJILI YA MABWENI NA NYUMBA ZA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NASIBUGANI MKURANGAVijana hao wasomi 53 wakikamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa PwaniVijana wasomi 53 wa grupu la Whatsapp la WAZALENDO wakikamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani, umbali wa kilomita 151 kutoka Dar es salaam, na kilomita 53 kutoka makao makuu ya Wilaya. 

Leo wamekutwa wakifanya kazi hiyo nzito huku wakihamasika kwa nyimbo wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga (wa pili kulia). Vijana hao, 14 wakiwa wanawake na 39 wanaume, walikubaliana kupiga kambi shuleni hapo toka Septemba 27, 2016 na kufanya kazi hiyo ya kujitolea na bila malipo kwa moyo mmoja na kufanikiwa kufyatua matofali hayo. Kambi hiyo inatarajiwa kufungwa kesho Jumamosi Oktoba 29, 2016 na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako

Mmoja wa vijana hao wasomi akielekea kazini. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE

Sehemu ya vijana hao wasomi 53 wakichota maji ili kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani

Vijana hao wasomi 53 wakikamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga akielekeza vijana sehemu ya kuweka matofali 

Kazi ikiendelea

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga akiwa katika picha ya pamoja na vijana hao wasomi 53 baada ya kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga akipungia pamoja na vijana hao wasomi 53 baada ya kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga akitoa maelekezo kwa vijana hao wasomi 53 baada ya kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani

Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo wakiwa bwenini

Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo wakiwa bwenini ambako kuna uhaba wa nafasi kiasi cha kurundikana namna hiyo

Huko jikoni msosi unaandaliwa

Wanafunzi wa shule hiyo wakijipanga kupata chakula cha mchana

Wanafunzi wanapata chakula na matunda kila mlo

Mojawapo ya nyumba chache za walimu ambamo wanakaa walimu saba

Walimu sita kati ya saba wanaoishi kwenye nyumba hiyo

Nishati mbadala ya solar itumiwayo na walimu hao saba

Wanafunzi wakipata mlo wa mchanaVijana wasomi wanawake wanalala hapa 

Sehemu ya vijana hao 14 wanawake wakipumzika baada ya kazi nzito

Pamoja na kufyatua matofali baadhi ya vijana hao wasomi ambao ni walimu walikuwa wakiingia darasani kufundisha. Hapa mwalimu akiandaa kipindi baada ya kufyatua matofali

Mwalimu akiandaa kipindi

Sehemu ya vijana hao

Jiwe la msingi

Nje ya darasaMandhari ya sehemu ya shule hiyo

Bweni la vijana wasomi wanaume

Pamoja na kazi nzito ya kufyatua matofali vijana hawa wazalendo wana nyuso za furaha na kuridhika kwa kujitolea kwao

"....HAPA KAZI TU!" anasema kijana huyu mzalendo

Furaha ya kumaliza kazi kwa mafanikio

Kijana mzalendo Petro Mgoti (suruali ya njano) alikuwa katika ziara ya mafunzo ya wiki sita nchini Ujerumani, na aliporejea nyumbani alienda moja kwa moja kujiunga na wenzie huko Mkuranga.

Furaha ya ushindi

Utamu wa uzalendo ni kufanya kazi na kufurahi kwa pamoja

Vijana mapumzikoni

Darasa la maabara ambalo sasa hutumika kama bweni la wanafunzi wa ziada

Darasa la maabara ambalo sasa hutumika kama bweni la wanafunzi wa ziadaBweni kwa ajili ya wanafunzi ndani ya darasa la maabaraKila sehemu ya stoo ya darasa la maabara hutumika kama bweni la wanafunzi wa ziadaStoo ya darasa la maabara hutumika kama bweni la wanafunzi wa ziadaDarasa la maabara ambalo sasa hutumika kama bweni la wanafunzi wa ziadaHayo matofali ni alama ya kuwa upande huo wa mbele ni wa Msikiti kwa ajili ya walimu na wanafunzi wa Kiislamu. Wakristo na waumini wa madhehebu mengine hutumia madarasaBaadhi ya wanafunzi wa shule hiyo wakielekea bweniniBaada ya kazi na msosi sasa ni wakati wa kuimba wimbo wa kambiWimbo wa kambi ukiimbwa na kuchezwa kwa furahaKijana akishukuru kwa kuhitimishwa kwa kazi hiyoMmoja wa vijana hao akishukuru Mungu kwa kumaliza kazi salama

Sehemu ya vijana hao

Vijana wakiwa katika kikao kidogo cha kuhitimisha kazi

Kijana mzalendo Petro Mgoti (suruali ya njano) akisema machache. Yeye alikuwa katika ziara ya mafunzo ya wiki sita nchini Ujerumani, na aliporejea nyumbani alienda moja kwa moja kujiunga na wenzie huko Mkuranga

Baada ya kazi nzito Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga akijiunga kupata msosi na vijana hao wasomi 53 baada ya kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani

Vijana hao wasomi 53 wakipata msosi baada ya kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.