Habari za Punde

VIJANA WA ALLIANCE WAANDALIWA KUWA TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA MIAKA 17

Vijana wa timu hiyo wakipambana uwanjani kuwania mpira wakati wa mazoezi ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. 
Mshauri wa soka la maendeleo ya vijana, Kim Poulsen (mwenye jezi ya bluu) na rafiki yake, Benny Pedersen wakisimamia mazoezi ya viungo ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. 
Picha na Alfred Lucas wa TFF

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.