Habari za Punde

VIWANJA VYA MICHEZO KUVAMIWA NA KUJENGWA MAJUMBA NANI WA KULAUMIWA????

Eneo hili kilikuwa ni kiwanja cha mpira wamiguu ambapo mpaka sasa hakuna tena mchezo wowote unaoweza kuchezwa eneo hili kutokana na wananchi kujenga katika eneo hili kama inavyoonekana pichani.  

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.