Habari za Punde

WANYWAJI WA SODA, SODA ZENU HIZOOOOO ZASAFIRISHWA

 Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake kwa haraka akiwa ameketi juu ya soda za chupa za take away kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog maeneo la Mbagala daraja la Mto Mzinga, akisafirisha kuelekea eneo lake la biashara.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.