Habari za Punde

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN HII LEO

Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akimkaribisha Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba hii leo Ikulu-Zanzibar alipomtembelea kwaajili ya mazungumzo.
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi. Mhe. Mwigulu Nchemba akifanya mazungumzo na Dkt. Rais wa Zanzibar kabla ya kuanza ziara ya kikazi visiwani humo iliyolenga kukutana na vikosi vya jeshi la polisi, NIDA, Uhamiaji n.k.
Wakiagana mara baada ya Mazungumzo. Picha/Maelezo na Festo Sanga Jr.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.