Habari za Punde

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APAA LEO KUMFUATA MPINZANI WAKE JIJINI BERLIN, UJERUMANI

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akiwa na Msimamizi wake, Joe Anena muda mfupi kabla ya kukwea pipa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Kuelekea mjini Huxleys, Kreuzberg, Berlin, Ujerumani, kunako mpambano wa marudio kati yake na Bondia Zapir Rasulov, baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa.

Class, anelekea nchini humo kwa ajili ya mchezo wa marudio kati yake na Bondia Zapir Rasulov, baada ya pambano lao la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, na kurudi na ubingwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.