Habari za Punde

HIVI HUYU ASKARI ALIKUWA ANAFANYE HAPA????

Askari wa Usalama barabarani akimng'ang'ania dereva wa daladala la Makumbusho Bunju,  katika Taa za kuongozea magari za Mwenge, katika sakata hili askari huyu alimshusha dereva huyu na kumchapavibao haikuweza kufahamika alifanya kosa gani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.