Habari za Punde

KITUO CHA UTAMADUNI CHA CHINA CHAZINDUA MAONESHO YA UTAMADUNI WA NCHI HIYO

Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa nchi hiyo yatakayofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei akiwaonesha waandishi wa habari  (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam baadhi ya maonyesho yatakayoneshwa kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei (Hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa  nchi hiyo yatakayofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.