Habari za Punde

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA SITA WA TUCTA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, Angela Kairuki akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana (wapili kulia) katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia), na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba (kulia) wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa Sita wa TUCTA, Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana . KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA) wakiimba wimbo wa Mshikamano kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) , Gratian Mukoba akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri )
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na wananchama wa TUCTA baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Sita kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira , Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama na kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Angela Kairuki.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Ulumbi Shani ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUKTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.