Habari za Punde

MAJIMAJI YAICHAPA MWADUI NYUMBANI KWAKE 1-0, MTIBWA SUGAR 1- MBEYA CITY 0

TIMU ya Majimaji ya Songea leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Mwadui Fc, katika mchezo uliomalizika hivi punde.

Katika mchezo huo timu zite zilikuwa zikishambuliana kwa zamu na kosakosa za hapa na pale hadi Majimaji walipoandika bao la ushindi katika dakika ya tatu kati ya nne za nyongeza baada ya kumalizika dakika 90. 

Nao Mtibwa Sugar wameweza kuutumia vyema uwanja wa nyumbani kwa kuwachapa Mbeya City Bao 1-0 lililofungwa na Haruna Chanongo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.