Habari za Punde

MAREHEMU SAMWEL SITTA AZIKWA MKOANI TABORA LEO


SPIKA wa bunge la tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee wa Kasi na Viwango, marehemu Samwel Sitta, amezikwa leo Novemba 12, 2016 huko wilayani Urambo mkoani Tabora.

Waziri Mkuu, Kasim Majliwa na mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliwaongoza maelfu ya wananchi na viongozi wa serikali, taasisi za umma na binafsi kwenye mazishi hayo yaliyotawaliwa na majonzi makubwa. Pichani Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016. PICHA NA OFISI YAWAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.