Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Bulembo (CCM), akichangia hoja kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016/2017 bungeni Dodoma, hasa jinsi ya kuwawezesha vijana nchini
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya wabunge
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema akijadiliana jambo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lisu (Chadema), akichangia hoja bungeni, ambapo alihoji watu wasio husika kuwaweka kwenye makumbusho ya mashujaa nchini. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Omary Kitua akichangia hoja wakati wa majadiliano ya mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016/17
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT), akichangia hoja bungeni Dodoma , katika mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016/17.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala (kulia) akisalimiana na matabibu wa dawa za asili mjini Dodoma. 
Wabunge wa Kambi ya Upinzani wakijadiliana jambo bungeni Dodoma
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata akiwa makini kusikiliza hoja bungeni
Mbunge wa jimbo la Pangani, Jumaa Aweso (kushoto) akijadiliana jambo na mbunge mwenzie
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia Chadema, Sophia Mwakagenda (kulia) akijadliana jambo na mbunge mwenzie
Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga akichangia mpango huo
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Charles Msigwa akichangia mpango huo
Wabunge wakiingia bungeni Dodoma jioni hii

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.