Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma 
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nashi akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Dkt Christine Ishengoma akiuliza swali katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (kulia) akijadilana jambo na Wazirin wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene katika kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 9, 2016. Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO Dodoma

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.