Habari za Punde

MHE. WAZIRI NAPE NNAUYE APOKEA VIFAA VYA MICHEZO TOKA KAMPUNI YA STAR TIMES LTD

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyekaa katikati mbele) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka kwa Kampuni ya Star Times Tanzania leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Leo.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akipokea vifaa vya michezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bw. Leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.