Habari za Punde

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. JORDAN RUGIMBANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI MHE. SARAH COOKE WAZUNGUMZIA UWEKEZAJI

Balozi wa Uingereza hapa nchini Mheshimiwa Sarah Cooke (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana mara baada ya kumaliza mazungumzo yao mapema leo hapa mjini Dodoma, wengine ni Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge na Kaimu Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mwl. Eliud Njogera.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.