Habari za Punde

MKUU WA WILAYA YA ILALA SOPHIA MJEMA AANZA KWA MWENDO KASI UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS DK MAGUFULI KUHUSU MASOKO YA MACHINGA .MANISPAA YATENGA MASOKO MATANO

Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitazama bidhaa katika Soko la Kivule CCM alipotembelea soko hilo, kwa ajili ya kuona namna Halmashauri ya Ilala itakavyoweza kuwapatia fursa machinga kufanya biashara zao katika soko hilo
Mfannyabiashara katika soko la Kivule CCM akiwa kwenye biashara zake, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, alipotembelea soko hilo, kwa ajili ya kuona namna Halmashauri ya Ilala itakavyoweza kuwapatia fursa machinga kufanya biashara zao katika soko hilo
Mkuu wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao hufanyabiashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi, Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na katika barabara za Lumumba na Mkunguni kuanzia Ijumaa hadi Jumapili.
*BARABARA ZA LUMUMBA NA MKUNGUNI KUTUMIKA IJUMAA HADI JUMAPILI
Mkuu wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao hufanyabiashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi, Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na katika barabara za Lumumba na Mkunguni kuanzia Ijumaa hadi Jumapili
Mkuu wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao hufanyabiashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi, Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na katika barabara za Lumumba na Mkunguni kuanzia Ijumaa hadi Jumapili. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Mmoja wa wafanyabiasra ndogondogo katika eneo la Barabara ya mabasi ya Mwendokasi, Kariakoo Dar es Salaam, akitoa dukuduku lake wafanyabiashara walipozungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema
Mmoja wa wafanyabiasra ndogondogo katika eneo la Barabara ya mabasi ya Mwendokasi, Kariakoo Dar es Salaam, akitoa dukuduku lake wafanyabiashara walipozungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema
Mkuu wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao hufanya biashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi, Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na katika barabara za Lumumba na Mkunguni kuanzia Ijumaa hadi Jumapili
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimhoji kijana wa Machinga kwenye barabara ya Mabasi ya Mwendokasi. Nyuma yake ni Katibu Tawala wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitazama barabara ya Nabasi ya Mwendokasi baada ya kuzungumza na machinga katika barabara hiyo eneo la Kariakoo, leo. Kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
Mgambo wa Manispaa ya Ilala Dar es Salaam, wakiwa wameimarisha ulinzi wakati Mjema alipozungumza ana machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es Salaam, leo
Askari akiwa wameimarisha ulinzi wakati Mjema alipozungumza ana machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es Salaam, leo
Kijana machinga wa Kimasai akiwa na bidhaa zake wakati Mjema alipozungumza ana machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es Salaam, leo
Kijana machinga wa akiwa na bidhaa zake za mabegi wakati Mjema alipozungumza ana machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es Salaam, leo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitoa maagizo baada ya kuzungumza na machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es Salaam, leo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akishauriana jambo na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Edward Mpogolo, walipokagua soko la Kivule CCM, leo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa habari wa habari baada ya kukagua soko la Kivule leo
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na baadhi ya viongozi wa Machinga wa wilaya ya Ilala alipokagua soko la Kivule CCM leo
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na baadhi ya viongozi wa Machinga wa wilaya ya Ilala alipokagua soko la Kivule CCM leo. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Edwad Mpogolo
Soko la Kivule ambako machinga wanaandaliwa ili kuhamia katika soko hilo
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na baadhi ya viongozi wa Machinga wa wilaya ya Ilala alipokagua soko la Kivule CCM leo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akifanya majumuisho na waandishi wa habari baada ya ziara yake ya kukagua masoko na kuzungumza na machinga katika ameneo mbalimbali kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli kuwataka viongozi kutowatimua machinga katika eneo lolote bila kuandaa maeneo ya kuwahamishia.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.