Habari za Punde

MOTO WATEKETEZA MAKONTENA BANDARINI, ZIMAMOTO WAKIFANYA MAZOEZI


Afisa mawasiliano mkuu wa Bandari, Peter Milanzi, akizungumza na wandishi wa habari waliofika katika eneo hilo lililo ulipotokea moto ambapo alisema kuwamoto huo, ni sehemu ya mazoezi ya wafanyakazi wa Bandari ili kupima uwezo wa wafanyakazi wa Jeshi la kuzima moto na vifaa wanavyotumia wakati wa ajali za moto.

Aidha Peter, aliwaondoa hofu wananchi kwa kusema kuwa Makontena hayo yaliandaliwa na kujazwa matairi na kuyachomwa moto kwa lengo la kufanya mazoezi,  ingawa mitaani tayari zilikwisha enea habari kuwa moto mkuwa umeteketeza makontena. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
 
Baadhi ya majeruhi 


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.