Habari za Punde

NA MIMI NITAPATA TU SAMAKI KITAELEWEKA

Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake kwa haraka akiwa katika harakati za kuvua samaki huku akitumia Mtumbwi wa aina yake aliounda kwa kutumia Chpa tupu za Plastiki alizopakia katika Kisafreti na kufunga ili aweze kuelea. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.