Habari za Punde

NAIBU WAZIRI KIGWANGALA APOKEA MSAADA WA VITANDA 50 KAMPUNI YA MERCK YA AFRIKA KUSINI

Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala (wa pili kushoto) akipokea Masada wa vitanda 50 kutoka  kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron wa tatu kushoto  kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo, magodoro 50 na vyandarua 100.
Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea Masada wa Vyandarua 100 kutoka  kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron wa tatu kushoto  kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo, magodoro 50 na vitanda 50. Picha Na Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.