Habari za Punde

PICHA ZA MTANANGE WA TAIFA STARS ILIPOPIGWA 3-0 NA ZIMBABWE JIJINI HARARE JANA

 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, akijaribu kuwatoka mabeki wa Zimbabwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliochezwa jana jioni jijini Harare. Katika mchezo huo Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
 Mshambuliaji wa Zombabwe, akiwatoka wachezaji wa Taifa Stars wakati wa mchezo huo.
 Mshambuliaji wsa Taifa Stars, Elius Maguri akichuana na beki wa Zimbabwe, Hadebe Teenage katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe leo. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
Beki Michael Aidan wa Tanzania akijiandaa kumimina krosi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.