Habari za Punde

PICHA ZA TUKIO LA AJALI YA MCHEZAJI WA YANGA MALIMI BUSUNGU ALIYEPATA AJALI JANA

Mchezaji waYanga Malimi Busungu, akiwa eneola ajali na gari yake ndogo baada ya kupata ajali eneo la Dakawa jana jioni akiwa safarini kuelekea mkoani Dodoma, Habari zilizotufikia zinasema kuwa mshambuliaji huyo amenusurika katika ajali hiyo na yuko salama.
Busungu katika eneo la ajali
Busungu akiwa na huzuni baada ya ajali hiyo
Busungu akijaribu kutafuta mawasiliano baada ya ajali hiyo
Busungu akijaribu kuelezea ajali hiyo kwa wasamaliawema

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.