Habari za Punde

RAIS MPYA WA TCCIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA CEO

Ndibalema Mayanja akukutana na Mwenyekiti wa CEO Round Table Ali Mfuruki ili kukuza mahusiano ya Taasisi hizi nyeti kwa maendeleo ya Biashara, Viwanda na Kilimo. Katika mkutano huo Rais Mayanja aliongozana na Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu, Mkurugenzi Muganda na Mshauri wa TCCIA Imani Kajula.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.