Habari za Punde

RAIS WA CHAD IDRISS DEBY AONDOKA NCHINI, AAGWA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya Rais huyo kuondoka nchini Novemba 28, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam wakati Rais huyo alipoondoka nchini Novemba 28, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati Rais huyo alpoondoka nchini Novemba 28, 2016. 
Rais wa Chad, Idriss Deby akiwapungia wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Dar es salaam wakati alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. Kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza na kushoto ni mke wa Rais wa Chad, Hinda Deby.

Rais wa Chad, Idriss Deby akipokea heshima kwenye uwnja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati alipoondoka nchini Novemb 28, 2016. Kushoto kwake ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.