Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ATEMBELEA BARABARA YA MGAGADU- KINANZINI PEMBA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  Nd,Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi pamoja viongozi wengine alipotembelea Ujenzi wa barabara ya Mgagadu-Kinanzini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea na kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo
 Baadhi ya Wananchi na Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo
 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum  ya kutembelea barabara hiyo leo
 Sheha wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya Mkoani Bibi Subira Mohamed Ali alipokuwa akizungumza kero za Shehia yake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo
 Baadhi ya Wananchi na Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum  ya kutembelea barabara hiyo leo, (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe,Hamed Suleiman. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.