Habari za Punde

TANZIA:ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA LIGI SAID MOHAMED AFARIKI DUNIA


ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Said Mohamed amefariki dunia leo katika Hospitali ya Agha khan alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mzee Said Mohamed aliwahi kuwa Meneja mkuu wa Kampuni ya Azam na mwenyekiti wa Azam Fc. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
Blog hii inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.