Habari za Punde

TRA KUTOA ELIMU YA KODI NA UWEKEZAJI KWA WAFANYABIASHARA 200 KUTOKA CHINA

 Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA Richard Kayombo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu semina kwa jumuiya ya wafanyabiashara wa china itakayofanyika tarehe 25 Novemba 2016, leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Jiteng Consultancy Limited Bw. Andrew Huong na Meneja Msaidizi wa Kampuni hiyo Bw. Wesley Huung (kushoto).
 Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA Richard Kayombo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu semina kwa jumuiya ya wafanyabiashara wa Kichina itakayofanyika tarehe 25 Novemba 2016. 
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano uliowakutanisha  wadau kutoka TRA na Jumuiya ya wafanyabiashara wa China leo Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Jiteng Consultancy Limited Bw. Andrew Huong (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu semina kuhusu elimu ya mlipa kodi na uwekezaji ikatakyofanyika tarehe 25 Novemba 2016 katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA Richard Kayombo na Meneja Msaidizi wa kampuni hiyo Wesley Huung. Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.