Habari za Punde

TRADEMARK EAST AFRICA, KUTUMIA MABILIONI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WANAWAKE WA TANZANIA

Mkurugenzi wa TradeMark East Africa, John Ulanga, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam le o, baada ya kufungua warsha ya Chama cha Wafanya Biashara, Wanawake wa Tanzania, Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCCIA) kuhusu namna ya kufanya biashara kwenye soko la Jumuiya ya Afrika, Mashariki iliyohudhuriwa na wanawake wafanyabiashara wa mipakani. Kushoto ni Mwenyekiti wa TWCCIA, Bibi, Jacline, Mneney Maleko.
 Mkurugenzi wa TradeMark East Africa, John Ulanga, akizungumza na wakati wa mafunzo hayo kwa wanawake yaliyofanyika jijini Dar es Salaa. Taasisi ya TradeMark East Africa, itatumia mabilioni ya shilingi, kuwajengea uwezo wafanyabiasha wanawake wa Tanzania, kutumia fursa za soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 Baadhi ya washiriki wa Mafunzo hayo wakifuatilia kilichokuwa kikiwasilishwa katika mafunzo hayo.
Picha ya pamoja baada ya mafunzo hayo kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.