Habari za Punde

UTEKELEZAJI WA AGIZO LA USAFI WA MAZINGIRA WA KILA MWISHO WA WIKI

 Mafundi Gereji wa Mtaa wa Iddi Azan Magomeni wakifanya usafi wamazingira kutekeleza agizo la Viongozi wa Serikali la kufanya usafi kila siku ya Jumamosi asubuhi.
 Vijana hao walisafisha eneo hilo kwa kutoa makorokoro ya magari na magari yote mabovu.
 Usafi ukiendelea....
 Magari yaliyoamishwaeneo hilo...
 Mapumziko kidogo wakati usafi ukiendelea
Makorokoro yakihamishwa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.