Habari za Punde

VIJANA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA WAFURAHIA FURSHA YA SOKO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

 Mkufunzi kutoka TWCC Mwajuma Hamza, akiendelea kutoa mafunzo ya Biashara kwa Vijana wajasilimali, kuhusu Fursa za Vijana na Taratibu, Sheria za kufanya biashara ndani ya Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayondelea kwa siku ya tatu kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Mkufunzi Mwajuma alikuwa akifundisha somo kuhusu 'Itifaki za Afrika ya Mashariki na Fursa za Vijana'
 Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
 Mkufunzi Peninah Tenga, akiendelea kutoa mafunzo ya Biashara kwa Vijana wajasilimali, kuhusu Fursa za Vijana na Taratibu, Sheria za kufanya biashara ndani ya Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayondelea kwa siku ya tatu kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
 Mshiriki akichangia mada
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
 Mkufunzi Mwajuma Hamza akiendelea kumwaga Nondozzzzz
 Mshiriki akiwa darasani huku akiwa na sehemu ya bidhaa zake alizofika nazo kwa ajili ya kuwaonyesha wenzake.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
 Mkufunzi, Leons Mtana, akiendelea kumwaga Nondozzzz
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
  Washiriki wakiwa makini kusikiliza kinachowasilishwa kwao wakati wa mafunzo hayo.
 Baada ya Mafunzo hayo yalifanyika majadiliano kwa makundi matatu tofauti
 Majadiliano yakiendelea kundi la pili....
Majadiliano yakiendelea kundi la tatu.......
 Afisa Tathmini kutoka TWCC, Ndunguru Aureus, akizungumza na washiriki baada ya kumalizika mafunzo hayo ya siku ya tatu leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.