Habari za Punde

WADAU WA AFYA NCHINI WAKUBALIANA KUFANYA MABORESHO MAKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA

 Rais wa  Kongamano linalojumuisha  wadau wote wa sekta ya afya nchini, Dk Omary Chillo, akisisitiza jambo wakati wa kongamano hilo linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo pamoja na mambo mengine ni kujadili namna ya kuboresha huduma na kuunganisha pamoja sekta binafsi na umma ndani ya tasnia hiyo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk Otilia Gowele, akifungua Kongamano  linalojumuisha  wadau wote wa sekta ya afya nchini linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo pamoja na mambo mengine ni kujadili namna ya kuboresha huduma na kuunganisha pamoja sekta binafsi na umma ndani ya tasnia hiyo 
 Washiriki wa Kongamano  linalojumuisha  wadau wote wa sekta ya afya nchini linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, wakifuatilia ajenda mbalimbali zinazohusu sekta ya afya. Kaulimbiu ya mkutano huo pamoja na mambo mengine ni kujadili namna ya kuboresha huduma na kuunganisha pamoja sekta binafsi na umma ndani ya tasnia hiyo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.