Habari za Punde

WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEWA NA BALOZI WA KOREA NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akimsikiliza kwa umakini Balozi wa Korea Nchini Tanzania Bw. Chung IL alipomtembelea Waziri Ofsini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu mazingira
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea Nchini  Bw. Chung IL (wa pili kushoto)  Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wengine ni Afisa kutoka Ubalozi wa Korea, Afisa toka Wizara ya Mambo ya nje na wa mwisho kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.