Habari za Punde

WAZIRI NAPE AMTEMBELEA KUMJULIA HALI MKUU WA MKOA WA TANGA.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigela aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam. Kwa taarifa zilizopo hali ya Mhe. Shigela inaendelea vizuri. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.