Habari za Punde

7 of 426 Print all In new window MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI (ICAD)

Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamulungu wakati akiongea na kuzindua Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD) yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
Mkufunzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania Aristid Kanje akitoa mafunzo juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo cha Usafiri wa Anga(CATC),wakati Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga. KWA PICHA ZIDI BOFYA HAPA
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya siku ya usafiri wa anga duniani (ICAD), Dkt.James Diu, Afisa mwanadamizi Idara ya uongozaji ndege Mwanajumaa Kombo na Mkufunzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) ,Aristid Kanje wakiwa kwenye kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
Baadhi ya washiriki wa wakati Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam wakisikiliza kwa makini Afisa mwanadamizi wa Idara ya usalama wa Anga Kapteni Lulu Malima wakati alipokuwa akitoa nada kwenye kongamono hilo.
Afisa mwanadamizi Idara ya uongozaji ndege Mwanajumaa Kombo akitoa elimu juu ya masuala ya uongozaji wa ndege kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam, wakati wa Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD), yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga. 
Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam,wakiwa kwenye kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani (ICAD)lililoandaliwa na Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar es Salaam. Lengo kuu ilikuwa ni kuwahamsisha wanafunzi hao waweze kupenda masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
PICHA NA FESTO KINGU-MTAZAMOMEDI BLOG.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.