Habari za Punde

NEC YATOA SOMO KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA DIMANI ZANZIBAR


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akifungua kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na vyama vya Siasa vitakavyoshiriki katika uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani Zanzibar leo.


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani akitoa ufafanuzi kwa viongozi wa vyama vya Siasa kuhusu maadili ya kuzingatia kwa vyama vya Siasa wakati wa uchaguzi huo na maandalizi ya Uchaguzi wa jimbo la Dimani leo mjini Zanzibar. 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva (kushoto) akiwa na wajumbe wa NEC wakakifuatilia mkutano huo leo mjini Zanzibar.Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akitoa ufafanuzi kwa viongozi wa vyama vya Siasa kuhusu maadili ya kuzingatia kwa vyama vya Siasa wakati wa uchaguzi huo na maandalizi ya Uchaguzi wa jimbo la Dimani leo mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.