Habari za Punde

GARI LATEKETEA KWA MOTO

Gari dogo likiwa limeteketea kwa moto pembezeni mwa barabara ya Goba kama lilivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog, hivi karibuni. Haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha gari hilo kuteketea kwa moto na kubaki frame.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.