Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI, GARI LA 'DFP' LABEBA TAKA JIJINI DAR


Ambacho sikuweza kufahamu kwa wafanya usafi hawa na uwiano wa gari wanalotumia ni namba za gari linalobeba taka, majani,miti iliyokuwa ikikatwa maeneo ya Posta Mpya jijini Dar es Salaam, kama ilivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog gari hilo likiwa na namba za DFP

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.