Habari za Punde

KAMPUNI YA BAKHRESA YAISHUKURU SERIKALI KWA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA UWEKEZAJI

   Mtaalam wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya Utengenezaji wa Vifunganshio vya Bidhaa (Omar Packaging Industries Ltd) iliyopochini ya Bakhresa Group Bw. Idd Msoma akielezea jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm Meru alipotembelea banda la Azam alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya kufunga maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania jana jijini Dar es Salaam. Katikati ni Afisa Masoko wa Kanda ya Pwani na Kaskazini wa Kampuni ya Azam Food Products Bw. Tunga Ally.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm Meru akiangalia baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na Kiwanda cha Azam Food Products Ltd alipotembelea banda la Azam wakati wa hafla ya kufunga maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania jana jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm Meru akiangalia unga wa ngano wa pakiti ya Kilo moja unaotengenezwa na Kampuni ya Bakhresa alipotembelea banda la Kampuni hiyo jana Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Masoko wa Kanda ya Pwani na Kaskazini wa Kampuni ya Azam Food Products Bw. Tunga Ally.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm Meru akifurahia jambo na wafanyakkazi wa Kampuni ya Bakhresa alipotembelea banda la Kampuni hiyo jana Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mtaalam wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya Utengenezaji wa Vifunganshio vya Bidhaa (Omar Packaging Industries Ltd) iliyopochini ya Bakhresa Group Bw. Idd Msoma na Afisa Masoko wa Kanda ya Pwani na Kaskazini wa Kampuni ya Azam Food Products Bw. Tunga Ally.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm Meru akimsikiliza kwa makini mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Bakhresa alipotembelea banda la Kampuni hiyo katika maonesho ya Viwanda vya Tanzania jana Dar es Salaam. Picha zote: Frank Shija, MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.