Habari za Punde

KIJANA AKUTWA AKIFUA NA KUANIKA NGUO JUU YA BATI

Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akiwa juu ya bati akifua na kuanika nguo kama alivyokutwa na Kamera ya Mafoto Blog, eneo la Tandale Sokoni hivi karibuni, haikuweza kufahamika kwa haraka sababu za kijana huyo kufanyia shughuli hizo akiwa juu ya bati. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.