Habari za Punde

KINANA AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA CCM WA MIKOA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wenyeviti wa Makatibu wa CCM wa mikoa, alipokutana nao katika kikao maalum kilichofanyika leo, katika ukumbi wa Sekretarieti kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.  Wengine walioko meza kuu, kutoka kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatibu, Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi. Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.