Habari za Punde

KIUNGO WA ZESCO JUSTINE ZULLU ASAINI MIAKA MIWILI YANGA

Kiungo Mkabaji kutoka timu ya Zesco United ya Zambia, Justine Zullu, akisaini mkataba wa miaka miwili na Klabu ya Yanga wakati wa zoezi hilo lililofanyika leo jijini Dar es Salaam. Zullu ametua nchini majuzi na kujiunga na aliyekuwa Kocha wake katika Klabu ya Zesco, George Lwandamina aliyemaliza taratibu za kujiunga na timu hiyo hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.