Habari za Punde

KUMBE NGUO ZA MITUMBA HUNYOOSHWA KWA MIKONO NA MAFUTA YA KURA.....

 Mfanyabiashara wa Nguo aliyejitambulisha kwa jina la Rajab Ramadhan, akiandaa biashara yake ya Suruali kwa kunyoosha kwa kutumia Mikono na Mafuta ya kura pamoja na maji, kama alivyokutwa na Kamera ya Mafoto Blog eneo la Karume jijini Dar es Salaam. Rajab anasema kuwa hutumia mikono, maji na Mafuta ya kura kunyoo nguo ili kuweza kuzirudisha katika ubora wake, ambapo baada ya kuandaliwa kwa vitu hivyo huwa na mvuto mkubwa mbele ya macho ya wateja zake.
 Akitumia mafuta ya kura kuntoosha nguo kwa mikono bila kutumia pasi wao huita 'PASI TAKO'.
Mkono wa huyu jamaa hata Pasi haioni ndani jinsi nguo inavyonyooka.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.