Habari za Punde

MASHINDANO YA KUTUNISHA MISULI KUFANYIKA 2017

 Baadhi ya watunisha misuli wakionesha jinsi ya kutunisha misuli kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Watunisha Misuli Nchini Bw. Francis Mapugilo (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mashindano ya kutafuta bingwa wa kutunisha misuli nchini Tanzania 2017 mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mshauri wa Ufundi wa Chama hicho Bw. Fike Wilson na (mwisho kulia) Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo Bw. Nilesh Bhatt.
 Baadhi ya watunisha misuli wakionesha jinsi ya kutunisha misuli kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watunisha misuli wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo Bw. Nilesh Bhatt(kushoto) mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Picha na Eliphace Marwa – Maelezo.              

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.