Habari za Punde

MBUNGE RIDHIWANI AWANGOZA WANANCHI KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa katika kituo cha kupima na kutoa Elimu ya ugonjwa wa Ukimwi kilichopo Mdaula, Chalinze akitolewa damu kwa ajili ya kupima virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi jimboni humo ikiwa ni siku ya Ukimwi Duniani.
Mbunge Ridhiwani akizungumza na wananchi walijitokeza kituoni hapo hawapo pichani katika siku ya Ukimwi Duniani.
Katika zoezi hilo watu walijitokeza i kupima wakiongozwa na Mbunge wao, watu watatu waligundulika kuwa na maambukizi virusi vya HIV kati ya watu 81 waliojitokeza kupima.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.