Habari za Punde

MOTO WAZUKA KITUO CHA POLISI MSIMBAZI JIJINI DAR


Baada ya moto ulioripotiwa Kituo cha polisi Msimbazi ni kwamba kipo salama moto ulizuka sehemu ya canteen na umedhibitiwa. Chumba kimoja tu cha VIP ndicho kilishika moto.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.