Habari za Punde

MREMBO AWEKA USISTER DUU PEMBENI, ACHANGAMKIA FURSA

 Mwanadada mrembo ambaye haikuweza kufahamika jina lake mapema akichangamkia fursa, na kuweza urembo wake pembeni ambapo amekuwa akitembeza biashara yake ya Miwa katika mitaa mbalimbali ya jijini Dar es Salaam, hapa akikatika mitaa ya Mwenge kama alivyokutwa na Kamera ya Mafoto Blog. 
Hapa kazi tuuuuuuu, urembo baadaye.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.