Habari za Punde

MSAJILI WA HAZINA AKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI NA KUSAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA MWAKA

 Msajili wa Hazina Dk.Oswald  Mashindano akizungumza jambo na baadhi ya wajumbe kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) na Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania.(TPRI) wakati wa hafla ya makabidhiano ya makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina.
 Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na mwakilishi kutoka Mfuko wa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina..Nyuma ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Bw.James Washima. 
Msajili wa Hazina Dk.Oswald  Mashindano akizungumza jambo na baadhi ya wajumbe kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) na Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania.(TPRI) wakati wa hafla ya makabidhiano ya makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.