Habari za Punde

MSANII BELLE 9 AIBUKA NA KIBWAGIZO CHA SAIDA KAROLI KUFUNGA MWAKA 'GIVE IT TO ME'


Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) hapa nchini, Abelnego Damian maarufu kama Belle 9 ameachia wimbo wake wimbo mpya unaoitwa ‘Give it to me’ aliomshirikisha G Nako kutoka Weusi Kundi la Weusi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.