Habari za Punde

MWENDO KASI KIBAO YAMEPAKI NA ABIRIA KIBAO SIELEWI

 Kama inavyoonekana pichani Kamera ya Mafoto Blog ilivyonasa hapa katika Kituo cha Kimara mwisho Mabasi kibao ya Mwendo kasi yakiwa yameegeshwa na huku kukiwa na abiria kibao katika kituo hicho wakisubiri usafiri, jambo ambalo limeacha maswali mengi kwa kila aliyeona picha hii. Kulikoni???Mabasi yapo kibao na Abiria wapo kibao


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.