Habari za Punde

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WA CCM AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI LUMUMBA LEO

 Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Desemba 14, 2016. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi na kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utawala na Uendeshaji, Salum Khatib Reja.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi. 
Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM, Rodgrick Mpogolo (katikati), kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo, Desemba 14, 2016. Kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utawala na Utumishi Makao Makuu ya CCM, Salum Khatib Reja.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, alipozungumzanao, leo Desemba 14, 2016.
Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Utawala na Uendeshaji,  Makao Makuu ya CCM, Salum Khatib Reja, akitoa utangulizi, baada ya Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM, Rodrick Mpogolo kuwasili ukumbini kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Desemba 14, 2016. 
Mkuu wa Utawala Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, Bakar Hamad (kulia) akishirikiana na viongozi wenzake kunukuu dondoo, Naibu Katibu Mkuu pya wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo alipozungumza na wafanyakazi wa Ofisi hiyo, leo Desemba 14, 2016. Kushoto ni Mwangalizi wa Ofisi Rose Francis na Ofisa Mwendeshaji Mwajuma Nyamka. 
Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM, Rodrick Mpogolo akiingia ukumbini kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo. Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.